Habari za Punde

Serikali ya Manispa ya Guilin Jimbo la Guangxi ari Kushirikiana na Tanzania.


Serikali ya Manispaa ya Guilin katika Jimbo la Guangxi Nchini China iko tayari kushirikiana na Tanzania katika kuimarisha kwa pamoja masuala yaliyomo ndani ya  Sekta za Utalii, Kilimo na Mazingira kwa nia ya kustawisha Uchumi wa Wananchi wa pande hizo mbili.

Kauli hiyo imetolewa na Naibu Meya wa Manispaa ya Guilin Bibi Wei Fengyun kwenye Hoteli ya Kimataifa ya Shangrila Spa wakati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Ujumbe wake walipofanya ziara ya Siku mbili kwenye Manispaa hiyo kuangalia miradi ya maendeleo iliyoifikiwa..

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.