Habari za Punde

Uongozi wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ltd Inatowa Mkono wa Pole.Kwa Ndugu na Jamaa Waliofikwa na Msiba wa Ajali ya Kivuko cha MV Nyerere Mwanza.

Uongozi wa Benki ya Watu wa Zanzibar,na Bodi ya Wakurugenzi wa PBZ.
Unatoa pole kwa ndugu, jamaa,  marafiki na Watanzania wote kwa ajali mbaya ya MV Nyerere iliyotokea tarehe 20.09.2018
Mwenyezi mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi. Amin
Tunawaombea majeruhi wote wapone haraka.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.