Habari za Punde

Uongozi wa Mtandao wa Kijamii wa Zanzinews. Com Unatoa Mkono wa Pole Kwa Ndugu na Jamaa Waliofiwa na Ndugu Zao Katika Ajali ya Kivuko Cha MV Nyerere Mkoani Mwanza.

Menejimenti ya Uongozi wa Mtandao wa Kijamii wa Zanzinews. Com, unatowao Mkono wa Pole kwa Ndugu na Jamaa Wote waliofikwa na Msiba huu Mzito wa kuwapoteza Wapenda wao na Ndugu zao katika Ajali ya Kivuko cha MV Nyerere.

Pia inawatakia Majeruhi kupata nafuu na kujiunga na Familia zao katika shughuli za maendeleo.

 Marehemu wote Mwenyenzi Mungu awalaze mahali pema peponi.Ameen.

Na Majeruhi Tunawaombea Wapate Nafuu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.