Wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Idara ya Utunzaji wa barabara wakiwa katika zoezi la kuifanyika matengenezo barabara ya kidimni Wilaya ya kati Unguja baada ya barabara hiyo kuharibika na kuweka lami katika eneo lililoharibika kama wanavyoonekana pichani wakiwa katika zoezi hilo.
Tunduru: Viuatilifu kuongeza uzalishaji wa Korosho Tunduru
-
Tunduru-Ruvuma.
Baadhi ya wakulima wa zao la korosho katika Tarafa ya Nakapanya Wilaya ya
Tunduru Mkoani Ruvuma,wamepongeza mpango wa Serikali wa kutoa b...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment