Habari za Punde

Ukarabati wa Miundombinu ya Maji Safi na Salama.

Mafundi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar ZAWA wakiwa katika zoezi la kurejesha huduma ya maji kwa Wananchi wa mitaa ya kikwajuni juu na bondeni baada ya miundombinu hiyo ya bomba la kupitisha maji kupasuka na kulifanyia ukarabati kama walivyokutwa na mpiga picha wetu wakiwa katika hatua za mwisho wakiweka mchanga baada ya kumaliza matengenezo hayo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.