BALOZI
Mdogo wa China anayefanyia kazi zake Zanzibar Balozi Xie Xiaowu akizungumza
wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa Mafunzo ya Mapishi na Ukaramu katika
kuhudumia Viongozi na Wageni yanayotolewa na Wakufunzi kutoka Nchini China,
ufunguzi huo umefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni
Zanzibar.
Msaidi Rais wa Taasisi ya China Natinal Research Institute of Food and Fermentation Industries Corporation Ltd (CNRIFFI) Bibi. Luo Yanquin akizungumza wakati wa ufunguzi huo wa mafunzo hayo ya Mapishi na Ukaramu yanayotolewa na Taasiosi yao kwa Wahudumu wa Viongozi wa Serikala na Wageni Zanzibar, uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
WAZIRI
wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu
akizungumza wakati wa hafla ya kuyafungua Mafunzo ya Mapishi na Ukarimu wa
huduma za kuwahudumia Viongozi na Wageni wakuu, yanayoendesha na Wakufunzi
kutoka Nchini China, hafla hiyo ya ufunguzi umefanyika katika ukumbi wa Sheikh
Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
BAADHI ya Makatibu Wakuu na Viongozi SMZ wakifuatilia hafla hiyo ya ufunguzi wa Mafunzo ya Mapishi na
Ukarimu kwa Wahudumu wa Viongozi na wageni yaliofunguliwa katika ukumbi wa
Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
Wakufunzi kutoka Taasisi ya China Natinal Research
Institute of Food and Fermentation Industries Corporation Ltd, wakimsikiliza
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi (MBM)Mhe.
Issa Haji Gavu akifungua mafunzo hayo
katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
BAADHI
ya Washiriki wa Mafunzo ya Mapisha na Ukarimu yatakayoendesha na Wakufunzi
kutoka Nchini China wa Taasisi ya (CNRIFFI) wakati wa ufunguzi huo uliofanywa
na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Issa
Haji Gavu katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
BAADHI
ya Washiriki wa Mafunzo ya Mapisha na Ukarimu yatakayoendesha na Wakufunzi
kutoka Nchini China wa Taasisi ya (CNRIFFI) wakati wa ufunguzi huo uliofanywa
na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Issa
Haji Gavu katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
No comments:
Post a Comment