Ofisa Mdhamini wizara ya Vijana , Utamaduni , Sanaa na Michezo Pemba, Fatma Hamad Rajab, akiwakabidhi zawadi Wanafunzi wa Madrasa ya Fatma bit Rassul , ilioko Kengeja Pemba, ambao wamefanya vyema katika mitihani yao.
PICHA NA HABIBA ZARALI -PEMBA.
No comments:
Post a Comment