Habari za Punde

Wananchi Wakiangalia Ajali ya Gari Katika Makutano ya Barabara ya Maisara na Muembemadema.

Wananchi wakiangalia gari zilizogongana katika makutano ya barabara ya maisara na muembemadena iliohususha gari mbili ndogo zenye namba ya Usajili Z541 JC aina ya Ist  iliyogonga na gari yenye namba za usajili Z 357FL aina ya Vizt, katika jali hiyo hakuna Mtu aliyejeruhiwa. Ili magari yaliogonga yamepata madhara kutoka na ajali hiyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.