Habari za Punde

Kikao cha baraza wawakilishi chaendelea leo Chukwani

 Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Said Hassan Said (kulia )akibadilishana mawazo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Haji Omar Kheir ndani ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.

 Waziri wa Fedha na Mipango Dkt,Khalid Salum Mohamed (kushoto)akibadilishana mawazo na Waziri asiekua na Wizara maalum Said Soud Said nje ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.

 Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Mohamed Said Mohamed kulia akibadilishana mawazo na Muakilishi wa Jimbo la Shauri Moyo Hamza Hassan Juma nje ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.


Mwakilishi wa Jimbo la Paje Jaku Hashim Ayoub akiuliza maswali katika kikao cha baraza la Wawakilishi kinachoendelea Chukwani Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.