Habari za Punde

Maadhimisho ya Siku ya Maafa Duniani Yaadhimishwa Kitaifa Kisiwani Pembe Ukumbi wa Kiwanda Cha Makonyo Wawi Chakechake.

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akizungumza na wananchi na viongozi mbali mbali wa Serikali katika maadhimisho ya siku ya maafa Duniani, yaliyofanyika huko katika ukumbi wa kinda cha makonyo Wawi Chake Chake
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali iddi, akisalimiana na afisa mdhamini Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Pemba, Ali Salim Matta, mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa kiwanda cha makonyo Wawi cahke Chake katika maadhimisho ya siku ya maafa duniani
VIONGOZI mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiongozwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakipiga makofi mara baada ya kumalizika wimbo wa taisa wa sisi sote tumegombaka, huko katika maadhimisho ya siku ya maafa Duniani yaliyofanyika katika kiwanda cha Makonyo Wawi
MKURUGENZI wa Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar Makame Khatib, akizungumza katika maadhimisho ya siku ya maafa dunini yaliyofanyika katika ukumbi wa kiwanda cha makonyo Wawi Chake Chake Pemba
NAIBU waziri Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mihayo Juma N'hunga, akizungumza katika maadhimisho ya siku ya maafa Duniani huko katika kiwanja cha Makonyo Wawi Chake Chake
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akizungumza na wananchi na viongozi mbali mbali wa Serikali katika maadhimisho ya siku ya maafa Duniani, yaliyofanyika huko katika ukumbi wa kinda cha makonyo Wawi Chake Chake
VIONGOZI mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiongozwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakipiga makofi mara baada ya kumalizika wimbo wa taisa wa sisi sote tumegombaka, huko katika maadhimisho ya siku ya maafa Duniani yaliyofanyika katika kiwanda cha Makonyo Wawi.
(Picha na Abdi Suleiman - PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.