Habari za Punde

Mafunzo ya ujasiriamli kwa vitendo yafanyika kisiwani Pemba

 Mkurugenzi wa Best Quality Company, akiwa pamoja na wakufunzi wa mafunzo ya Wajasiriamali kwa vitendo huko katika ukumbi wa Chuo cha Mafunzo ya amali Vitongoji Pemba.
 Meneja wa Benk ya CRDB Pemba, Ahmad Ali Abuubakar, akizungumzia fursa zinazopatikana kwa wajasiriamali katika Benk ya CRDB.



Mkufunzi wa mafunzo ya Wajasiriamali kwa vitendo, Geoffrey Kalinde kutoka Kampuni ya Mpilika akizungumza na Wajasiriamali ambao wanahudhuria mafunzo ya ujasiriamli kwa vitendo huko katika ukumbi wa
Chuo cha mafunzo ya amali Vitongoji .

Wajasiriamali wa Pemba wanaohudhuria mafunzo ya vitendo huko  wa Chuo cha mafunzo ya amali Pemba

PICHA NA HABIBA ZARALI -PEMBA.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.