Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wachezaji wa Timu
ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars ambao walifika Ikulu jijini Dar es Salaam
pamoja na Viongozi wa Shirikisho la Miguu la Tanzania TFF, BMT pamoja na Wizara
ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wachezaji wa Timu
ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars ambao walifika Ikulu jijini Dar es Salaam
pamoja na Viongozi wa Shirikisho la Miguu la Tanzania TFF, BMT pamoja na Wizara
ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maelekezo
mara baada ya kukabidhi Shilingi milioni 50 kwa TFF kwa ajili ya Maandalizi
ya Timu ya Taifa Ikulu jijini Dar es
Salaam
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwakabidhi Shilingi milioni 50,
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe pamoja na
viongozi wa TFF ili zitumuke katika maandalizi ya mechi inayokuja ya kuwania
kufuzi AFCON nchini Cameroon. Wengine katika picha ni Rais wa TFF Wallace
Karia, Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidao pamoja na Nahodha wa Timu ya Taifa
Erasto Nyoni.
Beki wa Timu ya
Taifa Shomari Kapombe akijitambulisha mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi ya Jezi ya Timu
ya Taifa kutoka kwa Nahodha wa Timu hiyo Erasto Nyoni Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi ya Jezi ya Timu
ya Taifa kutoka kwa Nahodha wa Timu hiyo Erasto Nyoni Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Nahodha
wa Timu hiyo Erasto Nyoni mara baada ya kumkabidhi Jezi ya Timu ya Taifa.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na
Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Tanzania Taifa Stars mara baada ya
kuzungumza nao Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha mstari wa Mbele
ni Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe watatu
kutoka kushoto, Waziri wa Mambo ya Nje Balozi Dkt. Augustine Mahiga watatu
kutoka kulia akifatiwa na Leodgar Tenga Mwenyekiti wa BMT, kocha wa timu ya
Taifa Emanuel Amunike Pamoja na Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidao. Wengine ni
Rais wa TFF Wallace Karia akiwa pamoja na Nahodha wa Timu ya Taifa Erasto
Nyoni.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Nahodha wa Timu ya Taifa Erasto Nyoni mara baada ya kupiga picha ya pamoja na
Timu ya Taifa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kipa wa Timu ya
Taifa Aishi Manula mara baada ya kupiga picha ya pamoja Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Beki kisiki wa
Taifa ya Tanzania Kelvin Yondani mara baada ya kupiga picha ya pamoja Ikulu
jijini Dar es Salaam. Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment