Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza katika kikao cha kupokea Taarifa ya Maendeleo
ya Ujenzi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma kutoka kwa wataalamu mbalimbali
wanaohusika na ujenzi huo. Wakwanza kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi
Mhandisi John Kijazi na wa kwanza kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu
Dkt. Moses Kusiluka

Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena Tax mara
baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam leo Oktoba 8, 2018
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Katibu
Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena Tax wapili kutoka kushoto mara baada ya
mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Katibu Mkuu
wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Faraji Mnyepe wapili kutoka kulia akifatiwa na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara
hiyo Bw. Shio. Kushoto ni Msaidizi wa Rais Maswala ya Diplomasia Balozi Zuhura
Bundala
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza Balozi wa Kenya
nchini Mhe. Dkt. Dan Kazungu baada ya kukutana na kufanya
naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 8, 2018
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi
wa Kenya hapa nchini Mhe. Dkt. Dan Kazungu pamoja na Naibu Balozi wa Kenya Mhe.
Boniface Muhia Ikulu jijini Dar es Salama
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Kenya hapa nchini Mhe. Dkt. Dan Kazungu pamoja na Naibu Balozi wa Kenya Mhe. Boniface Muhia Ikulu jijini Dar es Salama.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea mfano wa Hundi yenye
thamani ya Shilingi milioni 125 kutoka kwa Balozi wa Kenya hapa nchini Mhe.
Dkt. Dan KazunguKwa ajili ya Rambirambi
ya nchi hiyo kwa Tanzania kufuatia ajali ya kivuko cha MV Nyerere huko Mwanza
mwezi uliopita.

PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment