Habari za Punde

Wajumbe wa Bodi ya PBZ Zanzibar Wafanya Ziara Kutembelea Matawi ya Benki ya Watu wa Zanzibar na Kuzungumza na Wafanyakazi wa PBZ.


Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Watu wa Zanzibar Limited (PBZ), Mhe.Kidawa Hamid Saleh akizungumza na Waandishi wa habari ni Viongozi wa Bodi na Viongozi wa PBZ wakati wa ziara ya Wakurugenzi wa Bodi kutembelea Matawi ya na kuzungumza na Wafanyakazi wakati wa kujitambulisha kwao na kutembelea Matawi yote ya PBZ Unguja. 

Mwenyekiti wa Bodi mpya ya Wakurugenzi ya Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ), Kidawa Hamid Saleh akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na ziara ya wajumbe wa bodi hiyo katika matawi mbalimbali ya pbz ya Unguja, ikiwa na lengo la kujionea maendeleo na changamoto zinazowakabili wafanyakazi wa benki hiyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.