Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Uso kwa Uso na Hamis Mgeja.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Geita, Alhaj Said Kalidushi katika mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye Kiwanja cha Sabasaba kilichopo Karumwa wilayani Nyang'hwale 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa zamani wa CCM wa Mkoa wa Shinyanga aliyehamia CHADEMA, Hamis Mgeja ambaye alijumuika na  maelfu ya mwananchi waliojitokeza kwenye Kiwanja cha  Sabasaba cha Karumwa wilayani Nyang'hwale  kumsikiliza Waziri Mkuu alipohutubia mkutano wa hadhara akiwa katika ziara ya mkoa wa Geita,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa zamani wa CCM wa Mkoa wa Shinyanga aliyehamia CHADEMA, Hamis Mgeja ambaye alijumuika na  maelfu ya mwananchi waliojitokeza kwenye Kiwanja cha  Sabasaba cha Karumwa wilayani Nyang'hwale  kumsikiliza Waziri Mkuu alipohutubia mkutano wa hadhara akiwa katika ziara ya mkoa wa Geita, Novemba 28, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.