Habari za Punde

Rais Dk Shein, Akiwasili Kisiwani Pemba Kuhudhuria Shamrashamra za Mapinduzi na uzinduzi wa Miradi ya Maendeleo na Kuhudhuria Mzoezi ya Viungo Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba Mwaka Huu Inafanyika Kitaifa Pemba.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduz Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Hemed Suleiman Abdalla. wakati akiwasili Uwanja wa Ndege wa Pemba kuhudhuria Uzinduzi wa Miradi ya Maendeleo kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar na kesho kuhudhuria Mazoezi ya Viungo ya Kitaifa katika Uwanja wa Gombani Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba. Mhe. Hemed Suleiman Abdalla, alipowasili katika Uwanja wa Ndege Kisiwani Pemba leo jioni,31-12-2018, kuhudhuria Uzinduzi wa Miradi ya Maendeleo kuadhimisha shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar na kushiriki Mazoezi ya Viungo ya Kitaifa yatakayofanyika kesho katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Serikali na Wananchi alipowasili Uwanja wa Ndege Pemba leo jioni, kuhudhuria Uzinduzi wa Miradi Mbalimbali ya Maendeleo ikiwa ni Shamrashamra za Kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.