Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Balozi Mpya wa UAE Nchini Tanzania Mhe. Khalifa Abdulrahman Al Marzooqi Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Afisa wa Ubalozi wa UAE Nchini Tanzania Ndg Saddam Galis,katikati Balozi Mpya ya UAE Nchini Tanzania Mhe. Khalifa Abdulrahman Al Marzooqi, alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha na kufanya mazungumzo na Rais wa Zanzibar leo.10-12-2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi Mpya wa UAE Nchini Tanzania Mhe. Khalifa Abdulrahman Al Marzooqi, alipofika Ikulu Zanzibar kwa kujitambulisha na kufanya mazungumzo leo.Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi Mpya wa UAE Nchini Tanzania Mhe. Khalifa Abdulrahman Al Marzooqi, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo, alipofika kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mgeni wake Balozi wa UAE Nchini Tanzania wakiwa katika mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar, kushoto Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia mazungumzo hayo yaliofanyika leo Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza mgeni wake Balozi wa UAE Nchini Tanzania Mhe. Khalifa Abdulrahman Al Marzooqi, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulia leo Ikulu Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na mgeni wake Balozi wa UAE Nchini Tanzania Mhe. Khalifa Abdulrahman Al Marzooqi, wakitoka ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika leo Ikulu Zanzibar. alipofika kujitambulisha.
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akifurahia jambo wakati akiwa na mgeni wake Balozi wa UAE Nchini Tanzania Mhe. Khalifa Abdulrahman Al Marzooqi, wakitoka ukumbi wa mkutano baada ya mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar leo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Balozi wa UAE Nchini Tanzania Mhe. Khalifa Abdulrahman Al Marzooqi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika leo Ikulu Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.