Habari za Punde

WIZARA, IOM WAJADILI CHANGAMOTO ZA KUWARUDISHA WAKIMBIZI WANAOTAKA KUREJEA MAKWAO

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa (IOM), Dkt. Qassim Sufi (kulia), alipofika Ofisi Ndogo ya Wizara kujadili changamoto mbalimbali za kusafirisha wakimbizi wanaoendelea kurejea makwao baada ya kuimarika kwa amani katika nchi zao. Mazungumzo hayo yamefanyika leo jijini Dar es Salaam
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa (IOM), Dkt. Qassim Sufi (kulia), akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, alipofika Ofisi Ndogo ya Wizara kujadili changamoto mbalimbali za kusafirisha wakimbizi wanaoendelea kurejea makwao baada ya kuimarika kwa amani katika nchi zao. Mazungumzo hayo yamefanyika leo jijini Dar es Salaam.
 Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.