Habari za Punde

India Yaadhimisha Miaka 70 ya Siku ya Jamuhuri ya India Katika Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar.

Balozi Mdogo wa India anayefanyia Kazi zake Zanzibar. Mhe. T.C.Barupal, akipandisha Bendera katiika Viwanja vya Ofisi Ndogo ya Ubalozi wa India Migombani Zanzibar,kuadhimisha Miaka 70 ya Siku ya Jamuhuri ya India, hafla hiyo imefanyika katika Ubalozi huo na kuhudhuriwa na Wananchi Wenye Asili ya India na Raia wa India waliopo Zanzibar. 
Balozi Mdogo wa India anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. T.C.Barupal, akihutubia na kutoa salamu za Wananchi wa India wakati wa hafla hiyo ya kuadhimisha Miaka 70 ya Jamuhuri ya India, zilifanyika katika viwanja vya Ubalozi Migombani Zanzibar. na kuhudhuriwa na Wananchi wenye Asili ya India. 
Wananchi wenye Asili ya India wakifuatilia hafla hiyo ya kuadhimisha sherehe za Miaka 70 ya Jamuhuri ya Watu wa India, zilizofanyika katika viwanja vya Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar.
Wananchi wenye Asili ya India wakifuatilia hafla hiyo ya kuadhimisha sherehe za Miaka 70 ya Jamuhuri ya Watu wa India, zilizofanyika katika viwanja vya Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar.
Balozi Mdogo wa India anayefanyia Kazi zake Zanzibar.Mhe T.C.Barupal, akisalimiana na Wananchi Wenye Asili ya India wanaoishi Zanzibar, baada ya hafla ya kuadhimisha Miaka 70 ya Jamuhri ya India zilizofanyika katika viwanja vya Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar 
Balozi Mdogo wa India anayefanyia Kazi zake Zanzibar.Mhe T.C.Barupal, akisalimiana na Wananchi Wenye Asili ya India wanaoishi Zanzibar, baada ya hafla ya kuadhimisha Miaka 70 ya Jamuhri ya India zilizofanyika katika viwanja vya Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar.(Picha na Haroub Hussein.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.