MLEZI wa Almadrasat Tarbiyyatul Islamiyya ya Limbani Wete bi
Mauwa Abeid Daftari akiwa na wanawake wa kiislamu katika maulidi ya kuzaliwa
Bwana Mtume Muhammad (SAW) huko Limbani Wete.
MKURUGENZI wa green
light foundation Salim Mussa Omar (wa pili kulia) akiwaongoza waislamu katika
mauled ya kuzaliwa Bwana Mtume Muhammad (SAW) katika chuo cha almadrasat
Tarbiyya Islamiyya ya Limbani Wete
WANAFUNZI wa
Almadrasat Tarbiyyatul Islamiyya ya Limbani Wete wakitumbuiza katika mauled ya
kuzaliwa Bwana Mtume Muhammad (SAW)
katika chuo hicho huko limbani Wete
MKURUGENZI wa Green Light Foundation Zanzibar Ndg.Salim Mussa Omar, akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Wanafunzi wa Madrasatul Tarbiyya Islamiyya ya Limbani Wete Pemba wakati wa hafla ya Maulidi ya kuzaliwa Mtume Muhammad SAW, yaliofanyika katika Madrasa hiyo Wete Pemba.
(Picha na Said Abdulrahman - Pemba).
No comments:
Post a Comment