Wafanyakazi wa Kampuni ya Kichina ya STECOL Inayosambaza mabomba ya Maji Safi na Salama katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, wakiendelea na uwekaji wa mabomba hayo mapya katika maeneo mbali mbali katika Mji wa Unguja. Kama walivyokutwa na Kamera yetu wakiwa katika mitaa ya maruhubi wakiweka mabomba hayo kuelekea bububu. kama wanavyoonekana pichani.
UDOM Yabuni Mashine ya Kisasa ya Kuuza Vinywaji Baridi Inayojiendesha
-
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kupitia Ndaki ya Sayansi za Kompyuta na Elimu
Angavu, kimebuni mashine ya kisasa ya kuuza ...
45 minutes ago
No comments:
Post a Comment