Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA MAJAJI NA MAHAKIMU WANAWAKE TANZANIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) Jaji Imani Aboud (kulia) wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa TAWJA uliofanyika kwenye Hotel ya Verde, Mtoni Zanzibar.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa TAWJA uliofanyika kwenye Hotel ya Verde, Mtoni Zanzibar.
 (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.