Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Shein, Azungumza na Balozi wa Ethiopia Nchini Tanzania.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Ethiopia Nchini Tanzania Mhe.Yonas Yosef  alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo Ikulu Zanzibar..
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na mgeni wake Balozi wa Ethiopia Nchini Tanzania Mhe.Yonas Yosef  alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo. Ikulu Zanzibar..
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Ethiopia Nchini Tanzania Mhe.Yonas Yosef  baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar, alipofika kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Ethiopia Nchini Tanzania Mhe.Yonas Yosef na Viongozi wa Serikali baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar, alipofika kujitambulisha.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.