Habari za Punde

Wananchi wa Kijiji cha Ungi Msuka Wilaya Micheweni Wanamasishwa Kutumia Umeme.

Wananchi wa Kijiji cha Ungi Msuka Wilaya ya Michewni Pemba wakifuatilia mkutano wao na Viongozi wa Shirika la Umeme Pemba kuhusiana na kuwahamashisha kuunga Umeme katika makaazi yao, ili kupata huduma hiyo majumbani kwao pamoja na matumizi ya nishati mbadala.wakati wa zoezi la kuwahamisisha lililotolewa na Wafanyakazi wa ZECO Pemba
Afisa uhusiano wa shirika la umeme Zanzibar Tawi la Pemba, Amour Salum Massoud akizungumza na wananchi wa Ungi Msuka, katika zoezi la uhamasishaji wa wananchi juu ya kuunga umeme majumbani mwao, pamoja na matumizi bora ya huduma hiyo ya umeme.
MHANDISI wa shirika la umeme Zanzibar ZECO Tawi la Pemba Ali Faki Ali, akizungumza na wananchi Ungi Msuka Wilaya ya Micheweni, wakati wa zoezo la uhamasishaji wananchi kuunga huduma ya umeme, pamoja na matumizi bora ya nishati hiyo.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.