Habari za Punde

Utoaji wa Takwimu za Bei yaonesha kushuka kutoka asilimia 3.5 hadi asilimia 3.0 mwezi Januari 2019

 Mkuu wa Takwimu za Bei katika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Khamis Abdulrahman Msham kushoto akitoa maelezo kuhusu Takwimu za Bei ambapo Imeonesha kushuka kutoka asilimia 3.5 kwa mwezi wa Disemba 2018 hadi asilimia 3.0 kwa mwezi wa January 2019 hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini mjini Unguja.
 Meneja Uchumi katika Benki ya Tanzania tawi la Zanzibar Moto Ng'winganele Lugobi akitoa ufafanuzi wa baadhi ya maswali yalioulizwa katika hafla ya Utoaji wa Takwimu za Bei ambapo Imeonesha kushuka kutoka asilimia 3.5 kwa mwezi wa Disemba 2018 hadi asilimia 3.0 kwa mwezi wa January 2019 hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Mazizini mjini Unguja.
Mhadhiri na Mkuu wa Idara ya Uchumi chuo kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA)akijibu maswali mbalimbali yalioulizwa katika hafla ya Utoaji wa Takwimu za Bei ambapo Imeonesha kushuka kutoka asilimia 3.5 kwa mwezi wa Disemba 2018 hadi asilimia 3.0 kwa mwezi wa January 2019 hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Mazizini mjini Unguja.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.