Habari za Punde

Boti iliyotengenezwa kwa takataka za plastiki yawasili bandari ya Wete

BOTI iliyobeba watalii kutoka Mombasa Kenya ikiwasili katika bandari ya Wete, Pemba (PICHA NA SAID ABDULRAHMAN  PEMBA)
 BOTI iliyotengenezwa kwa takataka za plastiki ikiwa na baadhi ya watalii ikiwasili katika bandari ya wete ikitokea Mombasa nchini Kenya, (PICHA NA SAID ABDULRAHMAN  PEMBA)

 Katrina Elleke kutoka nchini Jamaica akiwafundisha wanafunzi na baadhi ya viongozi waliofika bandarini Wete kwa ajili ya kuwapokea namna ya kuisarifu chupa ya plastic na kufanya kamba, (PICHA NA SAID ABDULRAHMAN  PEMBA

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.