Habari za Punde

Ziara ya Rais wa Zanzibaer katika Wilaya ya Mjini Unguja Kutembelea Miradi ya Maendeleo na Kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Tangi la Maji Saateni Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasali katika viwanja vya Mamlaka ya Maji (ZAWA) Saateni akiwa Waziri wa Ardhi,Maji Nishati na Makaazi Zanzibar. Mhe. Salama Aboud Talib, akiwa katika ziara yake katika Wilaya ya Mjini Unguja kutembelea Miradi ya Maendeleo na kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Tangi la Maji la Kisasa katika eneo hilo la Saateni Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Tangi la Maji katika eneo la Saateni Zanzibar, akiwa katika ziara yake katika Wilaya ya Mjini Unguja. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.