Habari za Punde

Hafla ya Kuapishwa Viongozi Walioteuliwa Hivi Karibu Mkuu wa Wilaya ya Kati,Katibe Mtewndaji wa Tume ya Utangazaji Zanzibar na Naibu Katibu Mkuu Anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mkuu wa Wilaya Mpya wa Kati Unguja Bi. Hamida Mussa Khamis, hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar.13-3-2019.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini Hati ya Kiapo ya Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja Mkoa wa Kusini Unguja Bi. Hamida Mussa Khamis, hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimpongeza na kumkabidhi Hati yake ya Kiapo Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja Mkoa wa Kusini Unguja Bi. Hamida Mussa Khamis, hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar. 
Mkuu wa Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja Bi. Hamida Mussa Khamis.
Katibu Mtendaji wa Tume ya Utangazaji Zanzibar Ndg.Omar Said Ameir.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wac Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Katibu Mtendaji wa Tume ya Utangazaji Zanzibar Ndg. Omar Said Ameir, hafla hiyo imefanyika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini Hati ya Kiapo ya Katibu Mtendaji wa Tume ya Utangazaji Zanzibar Ndg. Omar Said Ameir, hafl;a hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, askimpongeza na kumkabidhi hati yake ya kiapo Katibu Mtendaji wa Tume ya Utangazaji Zanzibar Ndg. Omar Said Ameir, hafla hiyo imefanyika leo katrika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu Anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Ndg. Khalid Abdallah Omar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Ndg. Khalid Abdallah Omar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini Hati ya Kiapo ya Naibu Katibu Mkuu Anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Ndg. Khalid Abdallah Omar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimpongeza na kumkabidhi Hati yake ya Kiapo Naibu Katibu Mkuu Anayeshughuli Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Ndg. Khalid Abdallah Omar.hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.