Habari za Punde

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Azungumza na Mwenyekiti wa Kampiuni ya Touchroad Group ya China.

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Khadija Bakari Juma akizungumza na Ugeni kutoka Kampuni ya Touchroad International Holdings Group ya China.inayoshughulikia mambo ya Utalii, ghafla iliofanyika Ukumbi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar. 
Mwenyekiti wa Kampuni ya TOUCHROAD INTERNATIONAL HOLDINGS GROUP ya China inayoshughulikia mambo ya Utalii He Liehui, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar katika ukumbi wa Wizara hiyo Kikwajuni Zanzibar na Watendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar .
  PICHA NA ABDALLA OMAR).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.