Habari za Punde

Mahafali ya 10 ya Chuo cha uandishi wa habari na mawasiliano ya umma

 BAADHI ya Wanafunzi wa Chuo cha Uwandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma Zanzibar ( ZJMMC) wakiwa kwenye maandamano katika Mahafali yaliofanyika Chuoni hapo Kilimani Mjini Zanzibar (Picha na Abdalla Omar).
 Mkuu wa Chuo cha Uwandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma Zanzibar (ZJMMC)  Bw. Chande Omar Omar akizungumza na kumkaribisha Mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar (Picha na Abdalla Omar).
 Mgeni rasmi ambae ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Bi. Khadija Bakar Juma akiwahutubia Wananchi  na Wanafunzi walioshiriki katika mahafali ya 10 ya Chuo cha Uwandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma Zanzibar ( ZJMMC)  yaliofanyika Chuoni hopo Kilimani Mjini Zanzibar (Picha na Abdalla Omar).
 Wanafunzi wa Chuo cha Uwandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma Zanzibar ( ZJMMC) wakitunukiwa Stashahada ya Diploma katika mahafali ya 10,   yaliofanyika Chuoni hopo Kilimani Mjini Zanzibar (Picha na Abdalla Omar)
Mgeni rasmi ambae ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Bi. Khadija Bakar Juma akipatia zawadi Mwanafunzi aliefanya vizuri zaid katika Somo la Uandishi wa magazeti (PRINT IN JOURNALISM) Fatma Haji Ame (Picha na Abdalla Omar).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.