Habari za Punde

Wafanyakazi wa Zantel Jijini Dar es Salaam Wakishangilia Ushindi wa Timu ya Taifa Stars Kufuzu Kuingia Fainali ya Michuano ya AFCON

Wafanyakazi wa kampuni ya mawasiliano ya Zantel wakishangilia ushindi wa Taifa Stars dhidi ya timu ya Cranes ya Uganda na kufanikiwa kuifunga Uganda Cranes mabao 3-0 na kufanikiwa kusonga mbele katika fainali za mashindano ya AFCON yatakayofanyika nchini Misri.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.