Habari za Punde

Uzinduzi wa Shamba Fresh Green House Zanzibar Dole.


Waziri wa Kilimo Maliasi Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe. Mmanga Mjawiri akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Harvest Shamba Fresh Bi. Juhayna Ajmy, akitowa maelezo ya kilimo cha mbogamboga kutumia green house wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa Mradi huo katika eneo la Dole Unguja Wilaya ya Magharibi A Unguja, akipata maelezo ya baadhi ya mbogamboga zinazoliwa katika eneo hilo, za Litusna,Colieodh na Balzri, uzinduzi huo umefanyika katika eneo hilo Dole jirani na Skuli ya Wazazi Dole.. 
Mkurugenzi wa Harvest Shamba Fresh Zanzibar Bi. Juhayna Ajmy akitowa maelezo ya kilimo cha mbogamboga kutumia Green House, wakati wa ufunguzi wa Mradi huo  katika eneo la Dole Wilaya ya Magharibi A Unguja, Mradi huo umefunguliwa na Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri mwenye kofia akifuatilia maelezo hayo wakati wa hafla hiyo. 

Mkurugenzi wa Harvest Shamba Fresh Zanzibar Bi. Juhayna Ajmy akitowa maelezo ya kilimo cha mbogamboga kutumia Green House, wakati wa ufunguzi wa Mradi huo  katika eneo la Dole Wilaya ya Magharibi A Unguja, Mradi huo umefunguliwa na Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri mwenye kofia akifuatilia maelezo hayo wakati wa hafla hiyo. 

Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri akiuliza wakati akitembelea Mradi wa Kilimo cha Mbogamboga kutumia eneo maalum Green House, wakati akitembelea kujionea kilimo hicho cha mbogamboga baada ya kuufungua Mradi huo huko Dole Wilaya ya Magharibi A Unguja, unaojishughulisha na Kilimo cha mbogamboga.  
Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri akizungumza wakatika akitembelea Mradi huo wa Shamba Fresh baada ya kuuzindua rasmin katika eneo la Dole Unguja akiwa na Mkurugenzi wa Harvest Shamba Fresh Bi. Juhayna Ajmy. 
Baadhi ya wageni waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Shamba Fresh kutumia Green House, wakitembelea kilimo hicho cha mbogamboga baada ya kuzinduliwa na Waziri wa Kilimo Maliasi Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe Mmanga Mjengo Mjawiri, katika eneo la Dole Wilaya ya Magharibi A Unguja jirani na Skuli ya Wazazi Dole.
Baadhi ya mbogamboga zinazolimwa kupitia eneo maalum la Green House, katika eneo la Dole Zanzibar umezinduliwa na Waziri wa Kilimo na Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe.Mmanga Mjengo Mjawiri. 


Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Kilimo cha Mbogamboga kupitia eneo maalum la Green House, Mradi huo unaosimamiwa na Kampuni ya Harvest Shamba Fresh Tanzania. Uzinduzi huo umefanyika Dole Wilaya ya Magharibi A Unguja Zanzibar.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.