Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baasdhi ya Viongozi wa Taasisi ya Repoa, alipowasili wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi iliofanyika Jijini Dar es Salaam leo ikiwa Warsha ya 24 ya Utafiti ya Repoa.

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa ufunguzi wa Warsha ya Utafiti wa Masuala Mbalimbali, ilioandaliwa na na Taasisi ya Utafiti wa Masuala ya Umaskini.(REPOA) inayofanyika Jijini Dae es Salaam leo.
BAADHI YA WASHIRIKI WA WARSHA YA 24 YA UTAFITI REPOA WAKIFUATILIA KWA MAKINI HOTUBA YA MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN, ALIPOKUWA AKIFUNGUA WARSHA YA 24 YA UTAFITI WA MASUALA MBALIMBALI ILIYOANDALIWA NA TAASISI YA UTAFITI WA MASUALA YA UMASKINI (REPOA) JIJINI DAR ES SALAAM LEO APRIL 10,2019.
MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKIAGANA NA VIONGOZI MBALIMBALI WANAOSHIRIKI KATIKA WARSHA YA 24 YA UTAFITI REPOA INAYOFANYIKA LEO APRIL 10,2019 JIJINI DAR ES SALAAM.(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)
No comments:
Post a Comment