Habari za Punde

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe. Simai Azungumza na Ujumbe wa World Bank.

 Naibu Waziri wa  Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Simai  Mohammed Said akiwa na watendaji wakuu wa wizara hiyo wakizungumza na ujumbe kutoka World Bank Bi Safaa El Tayeb El-Kagali (wa kwanza kulia) na Mr.Kaboko Nkahiga (wa pili kulia) ofisini kwake Mazizini ujumbe ambao umekuja kuangalia maendeleo ya mradi  wa ZISP juu ya ujenzi wa vituo vya maabara na utoaji Mafunzo kwa Walimu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.