Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Azungumza na Rais wa Shirikisho la Michezo ya Jumuiya ya Madola Ikulu Zanzibar leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais wa Shirikisho la Michezo ya Jumuiya ya Madola Bi. Dame Louis Martin alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Rais wa Kanda ya Afrika Bi. Maryam Moyo na kushoto Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania Ndg Gulam Abdallah Rashid, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania Ndg. Gulam Abdallah Rashid, alipowaka Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Katibu Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania Ndg. Filbert Bayi, walipowasili katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.