Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa.Palamagamba Kabudi, alipofika Ikulu Zanzibar leo kwa mazungumzo.
GCLA INAENDELEA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI KATIKA MAONESHO SABASABA
-
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlakla ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), Dkt. Adam Fimbo
(kulia) akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la Mamlaka ya
Maabara ya ...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment