Habari za Punde

Wananchi Kisiwani Pemba Wakiwa Katika Harakati za Maandalizi ya Sikukuu Wakati Huu wa Mfungo wa Mwezi wa Ramadhin.

Wananchi Kisiwani Pemba katika Wilaya ya Chakechake Pemba wakiwa katika harakati za mahitaji ya Maandalizi ya Sikukuu na Futari katika kipindi hichi cha Mfungo wa Mwezi Mtuku wa Ramadhani tukiwa katika kumbi la pili la mfungo 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.