Habari za Punde

Serikali Yakutana na Wazalishaji wa Mifuko Mbadala ya Plastiki na Wadau wa Biashara ya Taka Hatarishi Nchini

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba (katikati) akizungumza na wazalishaji wa mifuko mbadala wa plastiki (hawapo pichani). Katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es Salaam, pamoja na mambo mengine wazalishaji hao wa mifuko mbadala wameihakikishia Serikali kuwa wako tayari kuongeza kasi ya usambazaji wa mifuko mbadala kote nchini. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira Nchini Dkt. Samuel Gwamaka. Kulia.Dkt. Freddy Manyika Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mazingira.
SehemuyawazalishajiwamifukombdalawaplastikikutokaKampunimbalimbaliwakimsikilizaWaziri waNchiOfisiyaMakamuwaRais (MuunganonaMazingira) Mhe. January Makamba (hayupopichani) katikakikaokilichofanyikakatikaukumbiwaKarimjeeJijini Dar es Salaam, pamojana mambo menginewazalishajihaowamifukombadalawameihakikishiaSerikalikuwawakotayarikuongezakasiyausambazajiwamifukombadalakotenchiniikiwaniutekelezajiwaagizo la Serikali la kusitishamatumiziyamifukoyaplastikihapanchiniifikapotarehe 1 Juni 2019.
Bw. HenerikoBatamuzikutokaKampuniya Kenwood Enterprise (T) Ltd akichangiamadakatikakikao cha wadau cha kupitiaRasimuyaKanunizakusimamia Taka Hatarishihapanchini. OfisiyaMakamuwaRaisimeandaarasimuyaKanunimpyazakusimamia Taka Hatarishinchiniikiwanipamojanaukusanyaji, urejelezaji, uteketezajinausafirishaji wake ndaninanjeyanchi. KikaohikikimefanyikakatikaUkumbiwaKarimjeeJijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.