Habari za Punde

Uzinduzi wa Ofa Maalum ya ZANTEL Zanzibar Katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhini

Mkurugenzi wa Kampuni ya Simu za Mkononi Zantel Zanzibar Ndg Mohammed Mussa Baucha akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Ofa Maalum kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhini iliofanyika katika ukumbi wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Mazizini Zanzibar.

Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Ofa Maalum ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, kwa Wateja wa Zantel, hafla hiyo imefanyika katika Ofisi za Mufti Mazizini Zanzibar. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.