Habari za Punde

MRATIB wa Mradi wa kuwajengea uwezo Vijana katika suala zima la ujasiriamali, unaoendeshwa na jumuiya ya haki jamii Zanzibar Juma Said Ali,  akiwasilisha mada ya mafanikio ya kilimo kwa vijana kutoka shehia Chonga mafunzo hayo yamefanyika mjini Chake Chake

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.