Habari za Punde

Mwenyekiti CCM, DKT John Magufuli aongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM- Zanzibar, Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein , Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Phillip Mangula wakiimba wimbo wa Chama mara baada ya kuwasili ukumbini katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) jijini Dar es Salaam.

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM- Zanzibar Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Ali Mohhamed Shein wakati wa kikao cha halimashauri kuu ya Chama hicho (NEC) kilichofanyika jijini Dar es Salaam. 
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mwenyekiti wa Ccm mkoa wa Arusha na mjumbe  halimashauri kuu ya Chama Mapinduzi Taifa Loata Sanare katika kikao cha  NEC kilichofanyika jijini Dar es Salaam.June 27,2019
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha halimashauri kuu ya Chama hicho (NEC) kilichofanyika jijini Dar es Salaam.June 27,2019

1 comment:

  1. Hongera sana zanzinews kwa habari za kweli na uhakika, Hii ni blog pekee iliyobaki Tanzania, Pia nilitaka kuwaulisha watanzania wenzangu kuwa kuna mtandao unalipa kwa kupost mambo ya kielimu bonyeza jina langu hapo kushoto kwenye komenti hii ujifunze zaidi. sasa mitandao ya kijamii inalipa

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.