Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Ajumuika na Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Katika Futari Iliofanyika Viwanja vya Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na Viongozi na Wanznchi katika futari iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar kulia Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dkt. Amani Abeid Karume  na kushoto  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, wakijumuika katika futari hiyo, kwa Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamede Shein, akiwakaribisha wageni wake tende wakati wa futari iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar kulia Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.,Dkt. Amani Karume. 
Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakiwa katika viwanja vya Ikulu Zanzibar wakihudhuria katika hafla ya Futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.
Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakiwa katika viwanja vya Ikulu Zanzibar wakihudhuria katika hafla ya Futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Gavu akizungumza na kutowa shukrani kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzu Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar. 
Mabalozi Wadogo wanaofanyika kazi zao Zanzibar wakihudhuria hafla ya futari ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein. katika viwanja vya Ikulu Zanzibar. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.