Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Ahudhuria Sala ya Eid Fitry Katika Viwanja Vya Maisara Suleiman leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mstahiki Meya wa Zanzibar Mhe Khatib Abdulraham alipowasili katika viwanja vya Maisara Suleiman kuhudhuria Ibada ya Sala ya Eid Fitry iliofanyika Kitaifa katika viwanja hivyo leo 5-6-2019.kulia Katibu Mtendaji wa Wakfu na Mali ya Amani Zanzibar Sheikh Abdalla Talib 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.