Habari za Punde

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Kujenga Masoko ya Wazi Kila Wilaya Ili Kusawasaidia Wajasiriamali Kuuza Bidhaa Zao.

Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Balozi Amina Salum Ali akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya (MKURABITA) waliofika ofisini kwake Migombani mjini Zanzibar kumuelezea changamoto walizozigundua zinazowakabili Wajasiriamali wa Zanzibar.

Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya MKURABITA wakijione Chumba cha kukutania wageni kilichotumiwa na Mfalme aliyetawala Zanzibar kipindi cha ukoloni.
Wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya MKURABITA wakiwa ndani ya Kanisa la Mkunazini walipokuwa wakipatiwa maelezo na Ndg. Frank kuhusu Biashara ya Utumwa ilivyokuwa inafanywa visiwani Zanzibar.
Frak mwenye Flana nyekundu akitoa maelezo namna Watumwa walivyokuwa wakiteswa kipindi cha Biashara ya Utumwa Zanzibar kwa Wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya MKURABITA
Mwongozaji wageni Mbarouk Rashid kulia akitoa historia ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya MKURABITA waliofika Makumbusho ya Kumbukumbu ya Mapinduzi Kisonge mjini Zanzibar.
Wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya MKURABITA wakiingia katika Makumbusho ya Kumbukumbu ya Mapinduzi Kisonge mjini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.