MWANAFUNZI Ajba
Nasurullah kutoka skuli ya Konde Msingi, akisoma kitabu wakati wa uzinduzi wa
mradi wa kuhamasisha wanafunzi kusoma vitabu, unaofadhiliwa na shirika la Book
Aid International, hafla iliyofanyika katika ukumbi wa maktaba kuu ya Chake
Chake
MWANAFUNZI
Abdullswamad Ali kutoka skuli ya Michakaeni Msingi, akisoma kitabu wakati wa
uzinduzi wa mradi wa kuhamasisha wanafunzi kusoma vitabu, unaofadhiliwa na
shirika la Book Aid International, hafla iliyofanyika katika ukumbi wa maktaba
kuu ya Chake Chake
MRATIB wa Mkatab kuu
ya Chake Chake Pemba, Mwaache Mohamed Bakari akitoa malezo mafupi juu ya mradi
wa kusoma vitabu unaofadhiliwa na Shirika la Book Aid Internationl, wakati wa
uzinduzi wa mradi huo uliofanyika katika kamtaba hiyo Pemba
Mkurugenzi wa
Shirika la Huduma za Mkataba Zanzibar Schana Haji Fumu, akizungumiza juu ya
mradi wa Book Aidi International unaohamasisha wanafuzi kusoma vitabu, wakati
wa uzinduzi wa mradi huo kwa skuli za msingi za wilaya ya Mkoani, hafla
iliyofanyika katika ukumbi wa mktaba kuu ya Chake Chake
BAADHI ya wanafunzi
kutoka skuli tano za Wilaya ya Mkoani ambazo zimo katika mradi wa Book Aid
Internationl, wenye lengo la kuhamasisha wanafunzi kusoma vitabu wakifuatilia
uzinduzi wa mradi huo uliofanyika katika maktaba kuu ya Chake Chake.
MRATIBU wa Taasisi ya Elimu Pemba Asha Said Nassor (mwenye
mtandio mwekundu) na Mkurugenzi wa huduma za Maktaba Zanzibar Schana Haji Fumu
wa kwnza kushoto, wakiwakabidhi walimu na wanafunzi wa skuli ya Maghuduthi
msingi, Vitabu na kabati vilivyotolew ana shirika la Book Aid International
kupitia mradi wake wa kuhamasisha wanafunzi kupenda kusoma vitabu, hafla
iliyofanyika katika Kamtaba kuu ya Chake Chake.
No comments:
Post a Comment