Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya ZYBA lililoandaa Bonaza hilo Ndg, Azizi Salum akizungumza wakati wa hafla hiyo ya Mchezo wa Bonaza la Nyota wa mchezo wa Basket Ball kutoka Vilabu vya Tanzania Bara na wa Vilabu vya Zanzibar lililofanyika katika Uwanja wa Mao Zendugs Zanzibar Timu ya Nyota wa Tanzania Bara wameshinda kwa Vikapu 66 -38.
DKT MPANGO AIOMBA BENKI YA CRDB KUTOA ELIMU YA FEDHA AKIZINDUA TAWI BUHIGWE
-
Buhigwe. Tarehe 27 Agosti 2025: Akizindua tawi la Benki ya CRDB wilayani
Buhigwe pamoja na kupokea madarasa mawili ya shule ya sekondari, Makamu wa
Rais, ...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment