Habari za Punde

Defedefe yaibuka kidedea resi za Ngalawa Mkoani


NGALAWA inayojulikana kwa jina la Defedefe ikiendeshwa na Nahodha Juma Haji Omar kutoka Makombeni, ikishika nafasi ya kwanza katika mashindano ya Ngalawa yaliyofanyika katika bandari ya Mkoani, ikiwa ni Shamrashamra za tamasha la 24 la Utamaduni wa Mzanzibari.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

AFISA Mdhamini Wizara ya Fedha na Mipango Pemba Ibrahim Saleh Juma, akimkabidhi bahasha yenye fedha ndani, mshindi wakwanza wa mashindano ya ngalawa Nahodha Juma Haji Omar aliyekuwa akiendesha ngalawa iliyojulikana kwa jina la Defedefe,  ikiwa ni Shamrashamra za tamasha la 24 la Utamaduni wa Mzanzibari.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.