Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Aongoza Kikao Cha Utekelezaji wa Harakati za Mradi wa Kufua Umeme Mto Rufiji.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza kikao cha utekelezaji  wa haraka wa maagizo ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuhusu mradi wa kufua Umeme wa mto Rufiji, kilichofanyika kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar Es Salaam, Julai 31, 2019 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.