Habari za Punde

MKATABA WA UJENZI WA DARAJA LA KIGONGO-BUSISI MKOANI MWANZA LA KM 3.2 WASAINIWA

Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng. Patrick Mfugale  akiuelezea  Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi  la Mwanza wa Km 3.2 kusainiwa katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jijini Dar es salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isaack Kamwelwe akiongea kabla ya kusainiwa kwa Mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Darala la Kigongo-Busisi Mwanza wa Km 3.2 katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jijini Dar es salaam. 
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Atashasta Nditiye.  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe.  Suleiman Jaffo na Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng. Patrick Mfugale wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella akiongea machache kabla ya Mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Darala la Kigongo-Busisi Mwanza wa Km 3.2 kusainiwa katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jijini Dar es salaam. 
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu Mhe. Hawa Mchafu Chakoma katika hafla ya uwekaji saini Mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Darala la Kigongo-Busisi Mwanza wa Km 3.2 kusainiwa katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jijini Dar es salaam
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isaack Kamwelwe. Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Atashasta Nditiye.  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe.  Suleiman Jaffo  wakishuhudia Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng. Patrick Mfugale wakiweka saini  na Mkandarasi China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) Mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Darala la Kigongo-Busisi Mwanza wa Km 3.2 kusainiwa katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jijini Dar es salaam
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isaack Kamwelwe. Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Atashasta Nditiye.  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe.  Suleiman Jaffo  wakishuhudia Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng. Patrick Mfugale wakibadilishana nyaraka baada ya kuweka saini na Mkandarasi China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) Mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Darala la Kigongo-Busisi Mwanza wa Km 3.2 kusainiwa katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jijini Dar es salaam
Mbunge wa Geita Mhe Joseph Kasheku Msukuma akitoa shukrani kwa serikali ya awamu ya Tano kwa Mradi wa Ujenzi wa Darala la Kigongo-Busisi Mwanza wa Km 3.2 kusainiwa katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jijini Dar es salaam.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isaack Kamwelwe.Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Atashasta Nditiye, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe.  Suleiman Jaffo, Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng. Patrick Mfugale na wabunge wa Kanda ya zaiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi wa Mkandarasi China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) Mkataba wa Mradi wa
Ujenzi wa Darala la Kigongo-Busisi Mwanza wa Km 3.2 kusainiwa katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jijini Dar es salaam leo Julai 29, 2019

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.