Habari za Punde

Mkesha wa Mwenge wa Uhuru Pandani Wete Pemba

WANAFUNZI wa Skuli ya Chasasa ya Wilaya ya Wete, wakiimba wimbo katika sherehe za mwenge wa Uhuru, huko katika Skuli ya Sekondari Mchangammdogo Pemba. (PICHA NA SAID ABDULRAHMAN PEMBA) 
 WANAFUNZI wa  Skuli ya Sekondari Shengejuu Wilaya ya Wete, wakiimba wimbo katika sherehe za mwenge wa Uhuru, wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi wa madarasa mawili ya kusomea pamoja na ukumbi.( PICHA NA SAID ABDULRAHMAN PEMBA)

 WANAVIKUNDI Cha maigizo kutoka JUFE Cha Wete Pemba, wakionyesha vimbwanga vyao wakati wa mkesha wa Mwenge wa Uhuru huko katika viwanja vya Skuli ya Sekondari Wete iliyopo Pandani Wilaya ya Wete, ( PICHA NA SAID ABDULRAHMAN PEMBA)
KIKUNDI Cha mchezo wa sarakasi wakitoa burudani katika mkesha wa Mwenge wa Uhuru huko katika viwanja vya Skuli ya Sekondari Wete iliyopo Pandani Wilaya ya Wete, (PICHA NA SAID ABDULRAHMAN PEMBA

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.